| Watu wakigawiwa nguo za msaada |
![]() |
| Watu wakisubiri kupewa mahindi ya msaada |
![]() |
| Hapa tunajenga nyuba ya mhitaji mmoja wapo |
| viatu vikiwa vimeandaliwa tayari kwa kuwasaidia wahitaji |
| watoto wakisubiri kwa hamu kugawiwa nguo za Msaada |
![]() |
| Hapa tukifunga kitanda kwenye nyumba ya mhitaji |
![]() |
| Mzee aliyeletewa kitanda akipanda kitandani kwa furaha |
![]() |
| Mzee boniface akifurahia kupata kitanda na godoro( amesaidiwa na ndugu aliyeona picha kwenye facebook na kuamua kusaidia. |
![]() |
| Picha ya pamoja na familia ya mtaa wa DRUGEDA |
![]() |
| Tukifurahia pamoja na watoto na ndugu Augusto Natai |
![]() |
| Familia hii ilifikishiwa nguo kutoka kwa marafiki wa facebook walioona uhitaji huo. |
![]() |
| Baada ya kuvaa nguo mpya kila mtu alikuwa na furaha |
![]() |
| Familia ya marafiki walioona picha kwenye facebook na kuamua kuja kuwasaidia wahitaji wa Usharika wa Qurus |
![]() |
| Moja ya familia ambayo tuliifikia. |
![]() |
| hapa marafiki na ndugu zetu wakiwa ndani ya jengo la kanisa wakisikiliza habari toka kwa mcungaji |
![]() |
| Tulipiga picha ya pamoja |
![]() |
| hakika Mungu anaandaa watu wake kwa ajili ya kuwafuta watu wake machozi |


















Hongereni sana. Mko wapi?
ReplyDelete